Shabiki sugu wa Arsenal aliyemaarufu Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Tupatupa: Shabiki sugu wa Arsenal aliye maarufu Tanzania

Ushabiki wa mchezo wa soka na ubunifu umemfanya James Tupatupa kuwa maarufu sana nchini Tanzania, haswa katika mitandao ya kijamii kutokana na kutengeneza nyimbo zenye utani kwa timu kubwa duniani.

Pia akifikwa na mkasa wa kunyolewa nywele kwa kuishabikia Timu ya Arsenal

Mwandishi wetu Omary Mkambara alizungumza na James na hii ni taarifa yake.