Vijana wafunzwa kuokoa watu baharini Zanzibar

Vijana wafunzwa kuokoa watu baharini Zanzibar

Visiwa vya Zanzibar ni maarufu sana kwa fukwe zake maridadi kabisa zinazowavutia wenyeji na wageni kwa mapumziko. Hata hivyo ni bahari hiyo pia ambayo imekuwa chanzo cha vifo vingi kutokana na kuzama kwa vyombo.

Shirika lisilo la kiserikali liitwalo Panje limeanzisha mradi wa kufundisha watoto ili kuinua kizazi cha waogeleaji lakini zaidi kupata wataalamu uokozi.

Mwandishi wetu Sammy Awami alifika kuangalia jinsi mradi huu unavyotekelezwa