Kwa picha: Visiwa vya Cape Verde vyenye milima mingi

Visiwa vyenye milima ya volkano vya Cape Verde, nje ya pwani ya magharibi mwa Afrika vina mambo mengi hasa fukwe ambazo huwavutia watalii. Kila kisiwa cha Cape Verde kina mambo yake ya pekee kama vile Martin Plaut alivyogundua.

Cape Verde ina ardhi iliyo na milima na mabonde makubwa ambayo ni matokeo ya kulipuka kwa volkano miaka iliyopita Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Cape Verde ina ardhi iliyo na milima na mabonde makubwa ambayo ni matokeo ya kulipuka kwa volkano miaka iliyopita
Volkano nyingi kama iliyo Sao Vicente imetoweka lakini iliyo kisiwa cha karibu cha Fogo ililipuka mwaka 2014 na kuwalazimu mamia ya watu kukimbia makwao Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Volkano nyingi kama hii Sao Vicente imetoweka lakini iliyo kisiwa cha karibu cha Fogo ililipuka mwaka 2014 na kuwalazimu mamia ya watu kukimbia makwao
Licha ya kutokuwepo ardhi kubwa kwa kilimo udogo wenye rutupa wa volkano huzalisha matunda mengi na mboga Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Licha ya kutokuwepo ardhi kubwa kwa kilimo udogo wenye rutupa wa volkano huzalisha matunda mengi na mboga
Bahari zinazoizunguka Cape Verde zina samaki wengi lakini wavuvi wanalaumu meli za uvuvi za Kichina na kutoka Ulaya ambazo zimesabsbisha samaki kupungua. Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Bahari zinazoizunguka Cape Verde zina samaki wengi lakini wavuvi wanalaumu meli za uvuvi za Kichina na kutoka Ulaya ambazo zimesabsbisha samaki kupungua.
Sio meli tu za kigeni ambazo ni changamoto kwa wavuvi bali pia mawimbi makali baharini ambayo ni hatari sana kwa wavuvi Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Sio meli tu za kigeni ambazo ni changamoto kwa wavuvi bali pia mawimbi makali baharini ambayo ni hatari sana kwa wavuvi
Wale ambao hawafanyi uvuvi na kilimo wamechukua uvugaji wa ngombe na inakuwa changamoto kubwa kupanda milima ya visiwa hivyo. Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Wale ambao hawafanyi uvuvi na kilimo wamechukua uvugaji wa ngombe na inakuwa changamoto kubwa kupanda milima ya visiwa hivyo.
Mvulana akikimbia mbele ya shule Cape Verde Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Serikali imewekeza sana kwenye elimu tangu uhuru mwaka 1975 kama njia ya kuboresha maisha nchini humo.
Sawa na umuhimu wa kuenda shuleni watu nchini Cape Verde hujiunga na jeshi watimiapo mwaka 18 Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Sawa na umuhimu wa kuenda shuleni watu nchini Cape Verde hujiunga na jeshi watimiapo mwaka 18
Historia ya nchini kutoka nyakati za kupigania uhuru
Image caption Historia ya nchini kutoka nyakati za kupigania uhuru
Watu wa Cape Verdeans wanaweza kuwa na ugumu wa kupata riziki, lakini kuna hali nzuri ya hewa ya kukizesha kisiwa hicho kuwa kivutia kwa watalii Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Watu wa Cape Verdeans wanaweza kuwa na ugumu wa kupata riziki, lakini kuna hali nzuri ya hewa ya kukizesha kisiwa hicho kuwa kivutia kwa watalii
Kando na kuwa na hali nzuri ya hewa , Cape Verde ina demokrasia ambapo rais huchaguliwa Haki miliki ya picha Martin Plaut
Image caption Kando na kuwa na hali nzuri ya hewa , Cape Verde ina demokrasia ambapo rais huchaguliwa

Photographs by Martin Plaut