Wakazi wanavyotatizwa na njaa Somalia
Wakazi wanavyotatizwa na njaa Somalia
Maeneo mengi ya Somalia yameathiriwa na ukame mbaya na nusu ya raia wanahitaji msaada wa chakula. Watu kadha wamefariki kutokana na njaa.
Madaktari wanaamini ukame pia umesababisha mlipuko wa kipindupindu.