Mama anafaa kuzungumza na binti kuhusu hedhi?
Huwezi kusikiliza tena

DRC: Mama anafaa kuzungumza na binti kuhusu hedhi?

Katika familia nyingi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo si jambo rahisi kwa wazazi wengi kuzungumza na mabinti zao juu ya mabadiliko ya ukuaji katika miili yao na kupata siku zao za mwezi.

Kutokana na hali hiyo baadhi ya mashirika ya haki za wanawake, yameanza kampeni ya kushinikiza wazazi kujadiliana na watoto wao masuala hayo.

Mbelechi Msoshi anaarifu zaidi kutoka Kinshasa

Mada zinazohusiana