Bei ya nyanya sasa haishikiki Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Bei ya nyanya sasa haishikiki Tanzania

Nchini Tanzania,gharama ya bidhaa ya chakula imeonekana kupanda kwa kasi wiki hii huku nyanya ikionekana kupanda zaidi sokoni..Lakini nini sababu ya ongezeko hilo la bei?

Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa anatuarifu;