Orodha kamili: Mataifa yenye raia wenye furaha zaidi 2017

Furaha Haki miliki ya picha Thinkstock

Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.

Orodha imeangazia takwimu kutoka 2014 hadi 2016.

Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Orodha kamili:

1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)

22. Brazil (6.635)

23. Jamhuri ya Czech (6.609)

24. Argentina (6.599)

25. Mexico (6.578)

26. Singapore (6.572)

27. Malta (6.527)

28. Uruguay (6.454)

29. Guatemala (6.454)

30. Panama (6.452)

31. Ufaransa (6.442)

32. Thailand (6.424)

33. Taiwan (6.422)

34. Uhispania (6.403)

35. Qatar (6.375)

36. Colombia (6.357)

37. Saudi Arabia (6.344)

38. Trinidad na Tobago (6.168)

39. Kuwait (6.105)

40. Slovakia (6.098)

41. Bahrain (6.087)

42. Malaysia (6.084)

43. Nicaragua (6.071)

44. Ecuador (6.008)

45. El Salvador (6.003)

46. Poland (5.973)

47. Uzbekistan (5.971)

48. Italia (5.964)

49. Urusi (5.963)

50. Belize (5.956)

51. Japan (5.920)

52. Lithuania (5.902)

53. Algeria (5.872)

54. Latvia (5.850)

55. Moldova (5.838)

56. Korea Kusini (5.838)

57. Romania (5.825)

58. Bolivia (5.823)

59. Turkmenistan (5.822)

60. Kazakhstan (5.819)

61. Cyprus Kaskazini (5.810)

62. Slovenia (5.758)

63. Peru (5.715)

64. Mauritius (5.629)

65. Cyprus (5.621)

66. Estonia (5.611)

67. Belarus (5.569)

68. Libya (5.525)

69. Uturuki (5.500)

70. Paraguay (5.493)

71. Hong Kong (5.472)

72. Ufilipino (5.430)

73. Serbia (5.395)

74. Jordan (5.336)

75. Hungary (5.324)

76. Jamaica (5.311)

77. Croatia (5.293)

78. Kosovo (5.279)

79. China (5.273)

80. Pakistan (5.269)

81. Indonesia (5.262)

82. Venezuela (5.250)

83. Montenegro (5.237)

84. Morocco (5.235)

85. Azerbaijan (5.234)

86. Jamhuri ya Dominika (5.230)

87. Ugiriki (5.227)

88. Lebanon (5.225)

89. Ureno (5.195)

90. Bosnia na Herzegovina (5.182)

91. Honduras (5.181)

92. Macedonia (5.175)

93. Somalia (5.151)

94. Vietnam (5.074)

95. Nigeria (5.074)

96. Tajikistan (5.041)

97. Bhutan (5.011)

98. Kyrgyzstan (5.004)

99. Nepal (4.962)

100. Mongolia (4.955)

101. Afrika Kusini (4.829)

102. Tunisia (4.805)

103. Maeneo ya Palestina (4.775)

104. Misri (4.735)

105. Bulgaria (4.714)

106. Sierra Leone (4.709)

107. Cameroon (4.695)

108. Iran (4.692)

109.Albania (4.644)

110. Bangladesh (4.608)

111. Namibia (4.574)

112. Kenya (4.553)

113. Msumbiji (4.550)

114. Myanmar (4.545)

115. Senegal (4.535)

116. Zambia (4.514)

117. Iraq (4.497)

118. Gabon (4.465)

119. Ethiopia (4.460)

120. Sri Lanka (4.440)

121. Armenia (4.376)

122. India (4.315)

123. Mauritania (4.292)

124. Congo (Brazzaville) (4.291)

125. Georgia (4.286)

126. Congo (Kinshasa) (4.280)

127. Mali (4.190)

128. Ivory Coast (4.180)

129. Cambodia (4.168)

130. Sudan (4.139)

131. Ghana (4.120)

132. Ukraine (4.096)

133. Uganda (4.081)

134. Burkina Faso (4.032)

135. Niger (4.028)

136. Malawi (3.970)

137. Chad (3.936)

138. Zimbabwe (3.875)

139. Lesotho (3.808)

140. Angola (3.795)

141. Afghanistan (3.794)

142. Botswana (3.766)

143. Benin (3.657)

144. Madagascar (3.644)

145. Haiti (3.603)

146. Yemen (3.593)

147. Sudan Kusini (3.591)

148. Liberia (3.533)

149. Guinea (3.507)

150. Togo (3.495)

151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)

153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)

155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii