Mtoto amvua kofia Papa Francis

Msichana wa umri wa miaka mitatu alivua kofia ya Papa Francis kiongozi huyo wa kidini alipokuwa anawabariki watoto St Peter's Square nchini Vatican.