Waziri aliyefutwa Tanzania Nape Nnauye asema alijua 'angelipia gharama'

Waziri aliyefutwa Tanzania Nape Nnauye asema alijua 'angelipia gharama'

Waziri wa habari na michezo aliyefutwa kazi nchini Tanzania Nape Nnauye amesema alijua angelipia alipokuwa anarejesha ripoti kuhusu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia kituo cha habari cha habari cha Clouds.

Amesema hana majuto.