Kijana anayeokota makopo mwenye ndoto za kuwa mwanamuziki Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Kijana anayeokota makopo mwenye ndoto za kuwa mwanamuziki Tanzania

Tumezoea kusikia mahojiano na wanamuziki ambao tayari wana majina makubwa na wamefanikiwa sana, lakini umewahi kujiuliza ni wangapi wana ndoto hizo lakini hawapati fursa ya kusikika?,

Mwandishi wetu kutoka dar es salaam Munira Hussein amekutana na kijana shukuru Julius ambae anafanya shughuli ya kuokota makopo lakini ndoto zake kubwa ni kuwa mwanamuziki maarufu nchini Tanzania.