Shirika latumia njia ya kipekee kufunza sayansi Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Shirika latumia njia ya kipekee kufunza sayansi Tanzania

Katika nchi nyingi za Afrika, jitihada mbalimbali zinafanyika kuongeza ushiriki na ufaulu wa masomo ya sayansi kwa shule za msingi na sekondari.

Nchini Tanzania kampuni moja ya kijamii imeanza kutoa mafunzo ya sayansi, teknolojia, hesabu na uhandisi kwa njia rafiki zaidi kwa wanafunzi.

Mwandishi wetu Munira Hussein alihudhuria katika mradi huo Mjini Dar es Salaam na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana