Rekodi mpya ya kuvunja matofali kwa kichwa yawekwa Bosnia
Huwezi kusikiliza tena

Rekodi mpya ya kuvunja matofali kwa kichwa yawekwa Bosnia

Bingwa wa taekwondo nchini Bosnia Kerim Ahmetspahic ameweka rekodi mpya ya dunia ya kuvunja matofali ya saruji kwa kutumia kichwa chake.

Alivunja matofali 111 kwa kutumia kichwa chake kwa kutumia muda wa sekunde 35 pekee.

Rekodi hiyo imetambuliwa na Guinness World Record.

Mada zinazohusiana