Matumizi ya vibubu kuhifadhia pesa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Vibubu vyaendelea kutumiwa kuhifadhia pesa Tanzania

Pamoja na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuleta mabadiliko katika mifumo ya utunzaji pesa kitalaam kama vile benki na njia nyingine za kidijitali, nchini Tanzania katika jiji la Dar es salaam baadhi ya watu bado wanatumia njia za asili ambapo wengi huhifadhi katika vijisanduku vidogovidogo maarufu kama vibubu.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga ametembelea maeneo mbalimbali mjini humo na kutuandalia taarifa ifuatayo

Mada zinazohusiana