Kwa picha: Kimbunga Debbie nchini Australia

Kimbunga kwa jina Debbie kimekumba eneo la kaskazini mashariki mwa jimbo la Queensland na kusababisha mvua kubwa eneo hilo.

Maelfu ya watu wamehamishwa huku wengi wakitafuta hifadhi katika makao ya muda.

Moja ya maeneo yaliyoathiriwa ni la Airlie Beach eneo maarufu kwa watalii ambalo limegeuka na kuwa mahame kufuatia kuwasili kwa kimbunga hicho.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha EPA
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Baadhi ya majengo yaliharibiwa.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha EPA
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Miti mikubwa iling'olewa na upepo mkali wa kimbunga hicho.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha EPA
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Wakaazi wa maeneo karibu na pwani wakiwemo wale walio mji wa Ayr wamehamishwa.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha AFP/Getty Images
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Watoto walibaki nyuma huku shule zikifungwa wakati wa dharura hiyo.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha AFP/Getty Images
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini Australia, Jumanne jioni ilionyesha kimbuna eneo la Queensland.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha Australia BOM
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Mtandao unaofuatia hali ya hewa wa WindyTV nao ulionyesha kimbunga hicho.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha WindyTV
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Siku ya Jamatatu mawingu ya kimbunga hicho yalionekana katika anga ya Ayr.

Picha za kimbunga Debbie nchini Australia Haki miliki ya picha AFP/Getty Images
Image caption Picha za kimbunga Debbie nchini Australia

Picha za Satellite : Australian Bureau of Meteorology.