Gari linaloweza kujipindua likiwa hewani Las Vegas

Gari linaloweza kujipindua likiwa hewani Las Vegas

Hii ni mara ya kwanza kwa dereva wa gari kufanikiwa kuruka na kulipindua gari hewani wakati wa mashindano hayo duniani.

Lee O'Donnell, ambaye jina lake la utani ni 'Mad Scientist' (Mwanasayansi Mwendawazimu), alifanikiwa kufanya hayo wakati wa fainali za mashindano ya Monster Jam World Finals mjini Las Vegas.