Raia wa Nigeria alivyoshambuliwa India

Raia wa Nigeria Endurance Amalawa alikuwa ameenda dukani Delhi kununua bidhaa aliposhambuliwa na kupigwa vibaya na wenyeji.

Waafrika wamekuwa wakilalamikia kubaguliwa na Wahindi.