Meza ndefu zaidi duniani yaundwa Ghana

Meza ndefu zaidi duniani yaundwa Ghana

Kampuni moja ya kutengeneza samani nchini Ghana imeunga meza ambayo imetambuliwa na Guinness World Records kuwa ndefu zaidi duniani.

Kwenye meza hiyo, wanaweza kuketi wageni 3,900.