Afrika kwa picha: Wiki Hii

Baadhi ya picha bora zaidi kutoka kote Afrika wii hii

Mchoraji akionyesha kazi yake huko Abidjan, Ivory Coast siku ya Jumatano Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mchoraji akionyesha kazi yake huko Abidjan, Ivory Coast siku ya Jumatano
Wawaume hawa walipigwa picha wakiwa mji wa zamani wa Marrekech nchini Morocco Haki miliki ya picha AP
Image caption Wawaume hawa walipigwa picha wakiwa mji wa zamani wa Marrekech nchini Morocco
Fukwe za Alexandria, Misri Haki miliki ya picha AP
Image caption Fukwe za Alexandria, Misri
Kondoo wakinywa maji enoo la Puntland linalokumbwa na ukame Haki miliki ya picha EPA
Image caption Kondoo wakinywa maji enoo la Puntland linalokumbwa na ukame
Msichana akiwa na "miwani" kwenye kambi nje ya mji wa Mogadishu Haki miliki ya picha AP
Image caption Msichana akiwa na "miwani" kwenye kambi nje ya mji wa Mogadishu
Raianwa Liberia wakusanyika Monrovia ijumaa kumuaga mwanamuziki Quincy B, ambaye aliaga dunia kwenye ajali ya barabarani akiwa na umri wa miaka 23 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Raia wa Liberia wakusanyika Monrovia ijumaa kumuaga mwanamuziki Quincy B, ambaye aliaga dunia kwenye ajali ya barabarani akiwa na umri wa miaka 23
Wanamitindo mjini Cape Town wakionyesha mavazi Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wanamitindo mjini Cape Town wakionyesha mavazi
Raia wa Mali wahudhuria mkutano wa kitaifa wa amani mjini Bamako siku ya Jumatatu Haki miliki ya picha AFP
Image caption Raia wa Mali wahudhuria mkutano wa kitaifa wa amani mjini Bamako siku ya Jumatatu
Wakiristo wa Eritrea na Ethiopian wakiomba nje ya kanisa la Orthodox katika kisiwa cha Lesbos Ugiriki, baada ya kuvuka bahari ya Mediterranean Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wakiristo wa Eritrea na Ethiopian wakiomba nje ya kanisa la Orthodox katika kisiwa cha Lesbos Ugiriki, baada ya kuvuka bahari ya Mediterranean
Mjini Benghazi, walibya waliandaa warsha wa kuhamasiha kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mjini Benghazi, walibya waliandaa warsha wa kuhamasiha kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa
Ngamia katika eneo lililojitenga nchini Somalia la Puntland. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Ngamia katika eneo lililojitenga nchini Somalia la Puntland.
Uganda ilandaa mbio za nyika za IAAF mjini Kampala siku ya Jumapili Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Uganda ilandaa mbio za nyika za IAAF mjini Kampala siku ya Jumapili

Picha: AFP, AP, EPA, Getty Images na Reuters