Takriban watu 10 wanahofiwa kufa maji visiwani Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Takriban watu 10 wanahofiwa kufa maji baada ya boti kuzama baharini, visiwani Zanzibar

Takriban watu 10 wanahofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa imebeba watu takriban 50 kuzama baharini, visiwani Zanzibar.BBC ilifanikiwa kuzungumza na nahodha wa boti ya Azam SeaLink inayosafiri kutoka kisiwa cha Pemba kwenda kisiwa cha Unguja Nassor Aboubakar, waliofanikiwa kumuokoa mmoja wa wavuvi hao.