Picha za satellite za uharibifu uliosababishwa na mafuriko nchini Peru tangu mwanzo wa mwaka huu

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru

Uharibifu uliosababishwa na mafuriko nchini Peru tangu mwanzo wa mwaka huu.

Watu 100 wameaga na maelfu ya wengine kuachwa bila makao kutokana na mafuriko ambayo yamekuwa yakiendelea nchini Peru tangu mwanzo wa mwaka huu.

Barabara na madaraja yamesombwa na maji huku miji ikifurika na mashamba kugeuka kuwa mabwawa yaliyojaa matope.

Hali hii imesababisha zaidi ya miji 800 kutangaza hali ya hatari na kuongezeka kwa bei ya chakula. Polisi wanasaidia kuleta utaratibu kwa maeneo yaliyoathirika.

Picha hizi za sateleite zimeandaliwa na Amazon Monitoring Project ( MAAP) pamoja na makundi ya uhifadhi ya ACA na ACCA ya Peru, na zinaonyesha jinsi maji yalivyobadilisha mazingira eneo la kaskazini magharibi mwa nchi kati ya Januari na Mechi.

Haki miliki ya picha MAAP
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru
Haki miliki ya picha MAAP
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru
Haki miliki ya picha MAAP
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru
Haki miliki ya picha MaAP
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru
Haki miliki ya picha MAAP
Image caption Picha za satellite za uharibifu wa mafuriko nchini Peru