Mashamba Rwanda yashambuliwa na viwavi jeshi
Huwezi kusikiliza tena

Mashamba ya Rwanda yameshambuliwa na viwavi jeshi.

Rwanda imetangaza kuwa sekta ya kilimo nchini humo inakabiliwa na wakati mgumu kutokana na mazao hasa mahindi kushambuliwa na wadudu hatari aina ya viwavi jeshi.

Waziri wa Kilimo nchini humo, ameeleza hali hiyo kuwa tishio la janga la njaa na kwamba kunaweza kutokea athari mbaya kwa mavuno yanayotarajiwa hasa nafaka.

Kutoka Kigali John Gakuba anaarifu zaidi