Vituko vya mbuzi wa Tanzania

Wahenga walisema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni , nchini Tanzania wapo mbuzi ambao wamekuwa kivutio kwa matendo yao ya ajabu na kuvuta hisia za wapita njia.

Mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja alivutiwa na matendo yao, na hivyo kuamua kukuletea taarifa hii