Je ni kwa nini watoto wa kike hupevuka mapema?

Je ni kwa nini watoto wa kike hupevuka mapema?

Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa kwa miaka ya hivi karibuni watoto wa kike hupevuka wakiwa na umri mdogo zaidi, kwa mujibu wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) watoto wa kike hupevuka miezi 12 hadi 18 kabla ya watoto wa kiume.

katika nchi zilizoendelea jitihada mbalimbali hufanyika ikiwemo elimu kutolewa kwa wazazi katika uleaji wa watoto hao, lakini vipi katika nchi za Afrika mashariki wazazi wanalielewa tatizo hili? Na tatizo hili husababishwa na nini hasa?

Munira Hussein kutoka Dar es salaam anaarifu zaidi.