April: Twiga 'maarufu duniani' hatimaye azaa

April: Twiga 'maarufu duniani' hatimaye azaa

Twiga kwa jina April, alipata umaarufu sana mtandaoni na kutazamwa na mamilioni ya watu moja kwa moja mtandaoni kwa wiki kadha akitarajiwa azae, katika bustani ya wanyama ya Harpursville, New York.

Mwishowe, amezaa.