NHIF inamfaa raia wa kawaida Tanzania?

NHIF inamfaa raia wa kawaida Tanzania?

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekuwa mojawapo wa miradi muhimu ya serikali ya Tanzania katika kufikisha huduma ya afya kwa raia. Je, kama raia, mpango huu umekufaa?