Veronica Mgaya: Maisha ya mwanamke mwendesha bodaboda Dar

Ukiachilia mbali changamoto nyingi wanazokumbana nazo wanawake wengi barani Afrika, lakini bado wamekuwa wakijishughulisha katika kazi mbalimbali ili kuleta maendeleo katika familia zao na jamii inayowazunguka.

Nchini Tanzania baadhi ya wanawake wamekuwa wakifanya kazi ambazo watu wengi huzitaja kama kazi za wanaume,

Mwandishi wetu Munira Husein amepata fursa ya kukutana na Veronica Mgaya anayefanya kazi ya kuendesha pikipiki ya abiria maarufu bodaboda na kutuandalia taarifa ifatayo.