Gari linaloweza kupaa kama ndege laundwa Uholanzi

Gari linaloweza kupaa kama ndege laundwa Uholanzi

Kampuni moja nchini Uholanzi imeunda gari ambalo linaweza kuendeshwa barabarani na pia linaweza kupaa kama ndege.

Kampuni hiyo inapanga kuanza kuuzia umma magari hayo mwaka ujao.

Magari hayo yanagharimu takriban $400,000 kwa sasa.