Coumba Diop: Mkulima mwanamke wa kipekee Senegal

Coumba Diop ni mkulima wa shamba ndogo ambaye hutumia eneo ndogo sana hukuza mimea bila mchanga mwingi.