Wanawake wanavyokumbana na unyanyasaji masokoni Dar
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake wanavyokumbana na unyanyasaji masokoni Dar

Mbali na jitihada zinazofanywa na wanawake barani Afrika kujikomboa kiuchumi lakini bado wanakumbana na unyanyasaji na udhalilishaji katika maeneo yao ya biashara, kwa mujibu wa taasisi ya Equality for Growth asilimia 90 ya wanawake wafanyao kazi katika masoko nchini tanzania wanakumbana na unyanyasaji, ikiwemo lugha za matusi.

Mwandishi wetu kutoka Dar es salaam Munira Hussein ametembelea masoko kadhaa na kuandaa taarifa ifuatayo..

Mada zinazohusiana