Jamii Tanzania inaweza kusaidia kumaliza mihadarati?
Huwezi kusikiliza tena

Jamii Tanzania inaweza kusaidia kumaliza dawa za kulevya?

Tatizo la dawa za kulevya nchini Tanzania limedaiwa kuchangia vifo na taifa kupoteza nguvu kazi pamoja na ongezeko la visa vya uhalifu.

Je, jamii inaweza kushiriki vipi kuangamiza tatizo hili?

Mada zinazohusiana