Viwavi wanavyotishia kilimo cha mahindi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Viwavi wanavyotishia kilimo cha mahindi Kenya

Kenya na Rwanda ni mataifa ambayo hivi karibuni yamevamiwa na viwavi ambao tayari vimeharibu mimea ya mahindi Kusini na Mashariki mwa Afrika.

Viwavi hao wametatiza wakulima sana kwa sababu kemikali zinazotumiwa kuwaua haziwaathiri viwavi hao.

Wakulima Magharibi mwa Kenya wana wasiwasi mwingi kwa sababu wadudu hao wanaendelea kusambaa kwa kasi.

Mwandishi wa BBC Muliro Telewa alitembelea eneo hilo na anatufahamisha zaidi.

Mada zinazohusiana