Kijana wa mtaani mwenye ndoto ya kuunda ndege
Huwezi kusikiliza tena

Kijana wa mtaani mwenye ndoto ya kuunda ndege

Fredrick Onyango kijana wa umri wa miaka 25 huwashangaza wengi Nairobi kutokana na ndege yake, ambayo licha ya kutopata masomo yoyote amefanikiwa kuiunda hadi kufikia baadhi ya sehemu zake kuanza kufanya kazi.