Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil

Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil

Watu wa jamii za asili walikabiliana na polisi kwenye mji mku wa Brazil Brasilia siku ya Jumanne.

Maelfu ya watu walikusanyika nje ya majengo ya Congress kudai haki za ardhi na pia kupinga kuingiliwa kwa ardhi yao na wakatati miti pamoja na wakulima.

Wanaharakati wanasema kuwa watu 13 kutoka jamii za asili waliuawa kwenye mizozo ya ardhi mwaka uliopita

Polisi walisema kuwa walilazimika kutumia nguvu wakati baadhi ya waandamanaji walijaribu kuvuka ua unaozunguka majengo wa bunge.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Makabiliano makali yaibuka kati ya raia na polisi Brazil
Haki miliki ya picha Reuters