Jamii Tanzania ina uelewa kuhusu chanjo?
Huwezi kusikiliza tena

Jamii Tanzania ina uelewa kuhusu chanjo?

Nchi nyingi za kusini mwa Jangwa la Sahara zimekuwa zikitegemea chanjo mbali mbali ili kuepukana na baadhi ya magonjwa kama vile Polio, pepo punda, na homa ya mapafu.

Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zinachukua hatua ya kuwa na chanjo ili kuhakikisha kuwa maradhi yanayozuilika hayaendelei kuwa tatizo tena na kuhakikisha kwamba watoto wote wanaozaliwa hospitalini au nje ya hospitali wanapata huduma zote za chanjo kama ilivyo pangwa.

Je jamii ina uelewa wa masuala ya chanjo kwa ujumla?

Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa amefuatilia utoaji wa chanjo nchini humo na ifuatayo ni taarifa yake.

Mada zinazohusiana