Kwa nini bangi ni muhimu miongoni mwa marasta Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini bangi ni muhimu miongoni mwa marasta Tanzania

Eneo la Afrika mashariki vita dhidi ya maatumizi ya dawa za kulevya vinapamba moto kila uchao.

Huko nchini Tanzania watu wenye imani ya kirasta, bangi ni kitu muhimu sana kwao, huku wakiamini matumizi ya bangi ni sakramenti kuu katika ibada zao.

Mwandishi wa BBC Humphrey mgonja alihudhuria mojawapo ya ibada za marasta na kuandaa taarifa hii.