Sikiliza vile wasanii wa Kenya wanavyoigiza sauti ya Magufuli
Huwezi kusikiliza tena

Sikiliza wasanii wa Kenya wanavyoigiza sauti ya Magufuli

Kwa zaidi ya miaka 10 sasa, wasanii wa kuigiza sauti nchini Kenya wameimarika kwa kuiga kauli na sauti za viongozi watajika Afrika na dunia nzima.

Ustadi wao wa kuiga sauti za viongozi umekuwa njia mpya ya burudani na kuwa na mvuto mkubwa nchini KENYA na hata kuteka hisia za viongozi.

Abdinoor Aden amekutana na waigizaji hao mjini Nairobi na kutuandalia makala ifuatayo.