Walioghushi umri wa kustaafu kufutwa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Rais Magufuli ameagiza watumishi wa serikali walioghushi umri wa kustaafu kufutwa

Siku chache tu baada ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kuamuru watumishi wa Umma wenye vyeti vya elimu vya kughushi kuondoshwa kwenye ajira zao, amesema hatua inayofuata sasa ni kushughulikia watumishi walioghushi umri wa kustaafu. Ameyasema hayo leo mkoani Kilimanjaro wakati wa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani. Halima Nyanza anaarifu zaidi