Wasichana mapacha walioshikana Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Pacha walioshikana Tanzania

Maria na Consolata ni wasichana mapacha waliozaliwa wakiwa wameshikana sasa wamefikia kidato cha sita wakiwa katika hatua za mwisho kufanya mitihani yao ya kuhitimu.

Wasichana hawa ambao kwa sasa wana miaka 19 wanasoma katika shule ya sekondari Udzungwa mkoani Iringa kusini Magharibi mwa Tanzania

Mwandishi wa BBC Leonard Mubali alisafiri hadi shuleni hapo na kuwakuta wasichana hawa na ifuatayo ni taarifa yake.