Muziki wa kutamba wazidi kushika kasi Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa kutamba wazidi kushika kasi Tanzania

Muziki wa kutamba nchini Tanzania ulipoteza mvuto kutokana na vijana wengi kuvamia aina hiyo ya muziki na hivyo kupoteza ladha yake.

Ingawa kwa sasa wenye kuhimili miondoko hiyo wanajitahidi kurejesha heshima na mvuto wa utamaduni huo, mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza kijana DEOGRATIUS MGEMBE almaarufu DEOWIZY, na kumuuliza kwanini alijitosa kwenye utamaduni wa kutamba..