Wanawake watakaoendesha treni za kisasa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake watakaoendesha treni za kisasa Kenya

Taifa la Kenya limekuwa likiendelea na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa unatarajiwa kurahisisha safari za abiria na mizigo.

Safari ya kwanza ya treni inatarajiwa kufanyika mwezi ujao.

Kwa sasa, maafisa wamekuwa wakifanyia majaribio safari za treni pamoja na kuwapa mafunzo madereva wataoendesha treni hizo.

Kinyume na awali, wakati huu kuna wanawake ambao wamekuwa wakiwavutia watu wanapopokea mafunzo.

Abdinoor Aden na maelezo zaidi.

Mada zinazohusiana