Manufaa ya maonyesho ya Arusha sekta ya madini Tanzania

Maonyesho ya sita ya Kimataifa ya madini yaani vito, yanatarajiwa yanaendelea mjini Arusha, kaskazini mwa Tanzania huku takriban watu elfu moja kutoka Kenya, Nigeria, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Afrika kusini wakishiriki.

Maonyesho hayo yanatoa fursa kwa wazalishaji na wafanyabiashara wa madini Tanzania kukutana na wanunuzi wakubwa wa madini duniani, kwa nia ya kukuza masoko.

Mwandishi wetu Halima Nyanza amezungumza na Meneja wa Maonyesho hayo George Kaseza.