Jamii Zanzibar inaweza kusaidia vita dhidi ya mihadarati?

Haba na Haba leo iko katika mfumo wa mjadala wa wazi ambao ulifanyika Zanzibar.

Mada yetu ni, ni kwa namna gani jamii inaweza kushiriki katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya?’