Sober House hupunguza matumizi ya mihadarati?

Haba na haba leo inaangazia nyumba za kutibu watu walioathirika na dawa za kulevya maaarufu kama sober house.

Je, unauona mchango wa Sober House katika kupunguza matumizi ya dawa za kulevya katika jamii yako?