Mafuriko Zanzibar yasababisha madhara makubwa
Huwezi kusikiliza tena

Mafuriko Zanzibar yasababisha madhara makubwa

Mvua zinazoendelea katika eneo la Afrika mashariki zimeendelea kusababisha madhara katika baadhi ya maeneo hususani ya ukanda mwa Bahari ya Hindi.

Visiwa vya Zanzibar bado viko katika hali ya mafuriko kutokana na Mvua hizi na hata ilifikia serikali kuzifunga shule zote kwa muda pamoja na kuwataka wanaokaa maeneo yenye mabond4e kuyahama makazi yao.

Muda mfupi uliopita nimezungumza na Leonald Mubali aambaye amesafiri hadi visiwani humo ili kujionea hali ilivyo na kwanza kutaka kujua hali ikoje?

Mada zinazohusiana