Shule ya Kaya Tiwi inavyovuma katika mpira wa kikapu
Huwezi kusikiliza tena

Shule ya Kaya Tiwi inavyovuma katika mpira wa kikapu Kenya

Shule ya upili ya Kaya Tiwi iliyoko pwani ya Kenya inazidi kuvuma katika mpira wa kikapu upande wa wasichana.

Kwa sasa Kaya Tiwi ni bingwa wa Afrika Mashariki na Kati, na bingwa mara mbili wa michezo ya kitaifa nchini Kenya.

Wachezaji hao wanamimina pongezi zao kwa mkuu wa shule hiyo Robert Aran na kocha Philip Onyano.

John Nene amewatembelea shuleni pwani ya Kenya, na kuandaa taarifa hii.

Mada zinazohusiana