Viongozi wa umri mdogo zaidi duniani

Emmanuel Macron, 39, ndiye rais wa umri mdogo zaidi kuwahi kuongoza Ufaransa.

Amevunja rekodi ya miaka 170 iliyokuwa inashikiliwa na Louis-Napoleon Bonaparte aliyeingia madarakani mwaka 1848 akiwa na miaka 40.

Hii hapa ni orodha ya viongozi wa umri mdogo zaidi duniani kwa sasa.