Watoto wanaounda App nchini Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Watoto wataalamu wa kuunda App nchini Kenya

Wanafunzi wenye umri kati ya miaka 7-16 kutoka shule mbalimbali jijini Nairobi wamekuwa wakipokea masomo spesheli ya kiteknolojia, ya kuunda programu tumishi.

Kijana wa miaka 11 aliyepokea mafunzo katika shule hiyo ya Appframe Coding Academy ameweza kubuni programu tumishi (App) ya mapishi ambayo inapatikana mitandaoni, huku wengine wakiendelea kutengeneza App tofauti kama vile za michezo, wanyama na mbio za magari.

Mwandishi wa BBC Paula Odek alitembelea shule hiyo na kutuandalia taarifa hii.

Mada zinazohusiana