Walimu wa watoto wenye matatizo ya kiakili humudu vipi?
Huwezi kusikiliza tena

Walimu wa watoto wenye matatizo ya kiakili humudu vipi?

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbana na tatizo la elimu kwa watoto wenye matatizo ya afya ya akili, mbali na jitihada mbalimbali kufanyika na serikali ya nchi hiyo.

Lakini bado wadau wa sekta hiyo wanaona watoto hao wamesahaulika.

Je, umewahi kujiuliza walimu katika shule hizo wanapitia mazingira gani?

Mwandishi wa BBC munira Hussein alitembelea shule maalum ya umma na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana