Mpango wa serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma unakuathiri?
Huwezi kusikiliza tena

Mpango wa serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma unakuathiri?

Haba na Haba leo inaangazia serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma kutoka Dar es salaam ambao ni mji mkuu ya nchi.

Wewe kama mwananchi unaguswaje kwa serikali kuhamia Dodoma?

Mada zinazohusiana