Habari za Global Newsbeat 1300 GMT
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1300 GMT

Kwenye Global Newsbeat:Michezo ya Kombe la Dunia la vijana chini ya miaka 20 inayoendelea kushika kasi huko Korea kusini Katika kundi A, wenyeji Korea Kusini waliwachapa Argentina mabao 2-1 huku England wakItoshana nguvu kwa sare ya 1-1 na Guinea.

Na, Iwapo leo hii utapata fursa ya kuketi karibu na mtoto wa Rais wa Marekani Donald Trump utamwambia nini? Tujadiliane kwenye Facebook BBC Swahili.com

Mada zinazohusiana